HadithiZaRuvuly
JF-Expert Member
- Apr 16, 2014
- 369
- 114
Kuanzia kichwa had shingon na mikonon piaMkuu hiyo ni Dushe au kioungo gani cha mwili?
AhsanteNendeni hospitali kubwa
Usiogope, nenda kacheki hukoAhsante
Nitampeleka huko nduguUsiogope, nenda kacheki huko
Tena waambie wawahi haraka sana kabla mambo hayajazidi kuwa mabaya zaidiNendeni hospitali kubwa
Za masista ? Sijaelewa mkuuaseee hadi mwili umesisimka jamaniii....... mpe pole sana....wahini hospitali za masista.
Duuuuuh sawa mkuu had huruma ukimuonaTena waambie wawahi haraka sana kabla mambo hayajazidi kuwa mabaya zaidi
Daaaaaah pole sana jamaa had hurumaWengi wameanza kupata vipele hivyo. Abadilishe aina ya mafuta ya kula. Wakina mama wengine wanapika chapati laini, tamu kweli, lakini mafuta wanayotumia hmmmmmm. Hata samaki wa kukaanga, mkaange wenyewe, chapati mpike wenyewe, hali ni mbaya/ngumu, dunia umevaa bukta, mjiaangalie sana. Vipele vyenyewe vinawasha sana, na joto la DSM ndiyo inaanza, kiama, vyangu ni vichache lakini mwili mzima kasoro uso.
Duuuuuh mbona wamepima choo kubwa ndio wakasema et minyoo ya amiba na kichocho waongo kumbePole Sana mkuu
1. Minyoo ulio ambiwa ya Amiba ni. Aina ya minyoo kitaalam inaitwa Entamoeba histolytica
huwa inapimwa kupitia choo Kubwa.
2. Minyoo ya kichocho. inaitwa Schistosoma haematobium
Huwa inapimwa kwenye choo ndogo yaaani mkojo
Daaaaah ahsante mkuu ngoja niende nae hospital kubwaHuyu ndugu mpeleke hospital Kubwa iliyo karibu nawe hizo ni Scrubs na huwa mode of transmission by though contact so Kuna uwezekano mkubwa atawambukiza wengine endapo atachelewa kupata tiba
Mkuu hiyo ni Dushe au kioungo gani cha mwili?
Heshima mkuu...Dushe la Mumeo lina Masikio na Nywele?