Msaada huu ni ugonjwa gani

Msaada huu ni ugonjwa gani

HadithiZaRuvuly

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2014
Posts
369
Reaction score
114
Habari kuna rafiki yangu anaumwa ugonjwa huu leo imepita mwezi . Tumienda nae hospital wakampima wakasema ana minyoo ya aina mbili :-
[emoji117] MINYOO YA AMIBA
[emoji117] MINYOO YA KICHOCHO
Tume tumia dawa za minyoo hiyo lakini wapi haijasaidia kitu. Tukarudi tena wakampa dawa ya allergy nayo haijasaidia kitu. Kwahiyo kwa yeyote anaeweza jua huu ugonjwa na dawa yake atuambie tafadhali, pengine labda na wewe umewahi kuugua ugonjwa huu tunaomba msaada wako ahsante
b7a162faf5f29ed0b93d2d52b640ddca.jpg
 
Wengi wameanza kupata vipele hivyo. Abadilishe aina ya mafuta ya kula. Wakina mama wengine wanapika chapati laini, tamu kweli, lakini mafuta wanayotumia hmmmmmm. Hata samaki wa kukaanga, mkaange wenyewe, chapati mpike wenyewe, hali ni mbaya/ngumu, dunia umevaa bukta, mjiaangalie sana. Vipele vyenyewe vinawasha sana, na joto la DSM ndiyo inaanza, kiama, vyangu ni vichache lakini mwili mzima kasoro uso.
 
Pole Sana mkuu
1. Minyoo ulio ambiwa ya Amiba ni. Aina ya minyoo kitaalam inaitwa Entamoeba histolytica
huwa inapimwa kupitia choo Kubwa.

2. Minyoo ya kichocho. inaitwa Schistosoma haematobium
Huwa inapimwa kwenye choo ndogo yaaani mkojo
 
Huyu ndugu mpeleke hospital Kubwa iliyo karibu nawe hizo ni Scrubs na huwa mode of transmission by though contact so Kuna uwezekano mkubwa atawambukiza wengine endapo atachelewa kupata tiba
 
Daaaaaah pole sana jamaa had huruma
 
Pole Sana mkuu
1. Minyoo ulio ambiwa ya Amiba ni. Aina ya minyoo kitaalam inaitwa Entamoeba histolytica
huwa inapimwa kupitia choo Kubwa.

2. Minyoo ya kichocho. inaitwa Schistosoma haematobium
Huwa inapimwa kwenye choo ndogo yaaani mkojo
Duuuuuh mbona wamepima choo kubwa ndio wakasema et minyoo ya amiba na kichocho waongo kumbe
 
Huyu ndugu mpeleke hospital Kubwa iliyo karibu nawe hizo ni Scrubs na huwa mode of transmission by though contact so Kuna uwezekano mkubwa atawambukiza wengine endapo atachelewa kupata tiba
Daaaaah ahsante mkuu ngoja niende nae hospital kubwa
 
Back
Top Bottom