Msaada huu ni ugonjwa gani

Msaada huu ni ugonjwa gani

Kwanza pole sana mkuu na yeye mpe pole zake. Jaribu hospitali kubwa hapa pia muhimbili waweza pata suluhu. Ikishindikana hapa na kama una uwezo wa kufika Nairobi Kenya naweza kukuelekeza hospitali nzuri.
Pia picha ungeigeuza ingesaidia mana hata mimi nmepata tabu kujua ni nin
 
Ahsante mkuu niigeuze iwe kwa juu et
 
Back
Top Bottom