hii inaitwa atopic dermatitis. inatibika
Ahsante mkuuDah mpe pole sana huyo jamaa.....mtafute specialist wa magonjwa ya ngozi may be
Mkuu hiyo ni Dushe au kioungo gani cha mwili?
Ahsante mkuu niigeuze iwe kwa juu etKwanza pole sana mkuu na yeye mpe pole zake. Jaribu hospitali kubwa hapa pia muhimbili waweza pata suluhu. Ikishindikana hapa na kama una uwezo wa kufika Nairobi Kenya naweza kukuelekeza hospitali nzuri.
Pia picha ungeigeuza ingesaidia mana hata mimi nmepata tabu kujua ni nin
Daaah jamaa anaumwa kweliWewe huoni sikio la mtu hapo na shingo? Tatizo lako ulitaka picha iwe kama unavyouliza.
Ahsante dda zainabuNinakushauri tumia hii tiba yetu ya asili mbadala, utatukumbuka:
Kwa wanaume na wanawake: Udongo (natural) Unaolainisha ngozi sasa unapatikana
Ahsante mkuu niigeuze iwe kwa juu et
Sawah mkuuYes mkuu
Si ndio hapo daaaahHuoni sikio?
Pole sana hata usijalMkuu niliangalia vibaya maana kila nikigeuza simu nilikuwa sielewi ndio maana nikahoji ila baada ya kupewa majibu ya kuumiza moyo nimeweza kuielewa hiyo picha.
Dah imenibidi nicheke, yani biashara hivi MTU anaumwa unmshauri apate maudongo[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Ninakushauri tumia hii tiba yetu ya asili mbadala, utatukumbuka:
Kwa wanaume na wanawake: Udongo (natural) Unaolainisha ngozi sasa unapatikana
Mbona inatisha sana duuhEmb cheki hapa
Neurofibromatosis - Wikipedia
Sina uhakika na hili suala na nani tumaini rafiki/ndugu yako sio hili linalomsumbua.
DaaaáaaaahMbona inatisha sana duuh
AiseeeeeeDah imenibidi nicheke, yani biashara hivi MTU anaumwa unmshauri apate maudongo[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]