HadithiZaRuvuly
JF-Expert Member
- Apr 16, 2014
- 369
- 114
- Thread starter
-
- #121
Ahsante mnoNa pia kuna minyoo pia inasababisha magonjwa ya ngozi esp microfilariae wale wanasababisha Matende/elephantiasis kama vile Loa loa,au wuchereria bancroftii so ni vizuri awaone wataalamu kwenye hosp kubwa
Schostoma Manson ova ni kichocho kinapatikana katikana haja kubwaDuuuuuh mbona wamepima choo kubwa ndio wakasema et minyoo ya amiba na kichocho waongo kumbe
Anhaaa ahsnte mkuuSchostoma Manson ova ni kichocho kinapatikana katikana haja kubwa
Nyie wajasiriamali ni kenge sana mnawaza kupiga hela tu..... sasa udongo wako ulainishe tu sehemu hata kama inaugonjwa? jua kwanza tatizo litibiwe
Kweli mkuuuJaribu kuutumia wacha kuponda kitu kabla hujatumia.
East Africa sio wahanga sana wa Schostosoma Mansoni according to Geographical distributionSchostoma Manson ova ni kichocho kinapatikana katikana haja kubwa
Kwani amekuambia anataka kulainisha ngozi MTU anaumwa ugonjwa wa ngozi bado unataka ajipake tena udongo!!?Ninakushauri tumia hii tiba yetu ya asili mbadala, utatukumbuka:
Kwa wanaume na wanawake: Udongo (natural) Unaolainisha ngozi sasa unapatikana
Muhimbili hadi apate rufaa hospital ndogoMkuu huo ugonjwa Kwenye Wikipedia NI tofauti Na wa warafiki wa mtoa mada.
NI vizuri akapimwe Muhimbili ili ajuwe NI nini
Yupo mchangiaji mmoja aliandika atopic dermatitis nime Google nimeona inaweza kuwa ndio ugonjwa wenyewe Muhimu akapimwe
Bila shaka ww ni CoKichocho/schistosomiasis/snail fever tunapima kwenye mkojo na choo.
Kwenye mkojo ni schistosoma haematobium na choo ni Schistosoma mansoni kwa mpimaji yupo right
Dawa ni praziquantel 40mg/kg in divided doses sijui kama waliwapa iyo dawa ni muhimu sana kwani usipotibiwa mapema utaleta shida kwenye ini na kuishia kupata magonjwa kama portal hypertension/Oesophageal varices na pia kwa Amiba anaeza pata amoebic liver abscess.
Kwa ushauri aende hospital kubwa akafanye vipimo zaidi vp anafanya kazi za majimaji kama vile uvuvi au mashamba ya mpunga/vitunguu?
Izo ziko kama warts au herpes zooster sababu zinatabia ya kufauta dermatone la msingi aende hospitali kubwa tuu