Msaada huu ni ugonjwa gani

Msaada huu ni ugonjwa gani

Na pia kuna minyoo pia inasababisha magonjwa ya ngozi esp microfilariae wale wanasababisha Matende/elephantiasis kama vile Loa loa,au wuchereria bancroftii so ni vizuri awaone wataalamu kwenye hosp kubwa
Ahsante mno
 
Mkuu huo ugonjwa Kwenye Wikipedia NI tofauti Na wa warafiki wa mtoa mada.
NI vizuri akapimwe Muhimbili ili ajuwe NI nini
Yupo mchangiaji mmoja aliandika atopic dermatitis nime Google nimeona inaweza kuwa ndio ugonjwa wenyewe Muhimu akapimwe
Muhimbili hadi apate rufaa hospital ndogo
 
je ana homa, joint kuuma,kichwa kuuma kuhara na matezi yaliyovimba?
 
Pole sana. ..nenda agakhan hospital Dar es Salaam. ..Kuna daktari bingwa wa ngozi. ..ningekwambia Muhimbili lakini utachukuwa muda mrefu kumpata bigwa wa hayo magonjwa. ..nakupa pole sana. .Mwenye Enzi Mungu awatangulie....
 
Kichocho/schistosomiasis/snail fever tunapima kwenye mkojo na choo.

Kwenye mkojo ni schistosoma haematobium na choo ni Schistosoma mansoni kwa mpimaji yupo right

Dawa ni praziquantel 40mg/kg in divided doses sijui kama waliwapa iyo dawa ni muhimu sana kwani usipotibiwa mapema utaleta shida kwenye ini na kuishia kupata magonjwa kama portal hypertension/Oesophageal varices na pia kwa Amiba anaeza pata amoebic liver abscess.

Kwa ushauri aende hospital kubwa akafanye vipimo zaidi vp anafanya kazi za majimaji kama vile uvuvi au mashamba ya mpunga/vitunguu?

Izo ziko kama warts au herpes zooster sababu zinatabia ya kufauta dermatone la msingi aende hospitali kubwa tuu
Bila shaka ww ni Co
 
Hii ni most likely viral skin infection inaitwa molluscum contagiosum nenda kwa Dermatologist utapata tiba.
 
Back
Top Bottom