Mona_tz
Member
- May 3, 2020
- 6
- 7
Naomba msaada. Mimi niliomba passport ya kusafiria trh 30/03/2023 pale ofisi kuu ya Uhamiaji Kurasini. Nilimaliza taratibu zote za malipo, kupiga picha, Fingerprint na yule ofisa wa Uhamiaji akanambia niende kuchukua passport yangu trh 13/04/2023 cha ajabu nimeenda nimeambiwa tena bado haijatoka nisubirie.
Kwani changamoto huwa ni nini haswa? Naomba msaada kwani nina safari ya tarehe 18/04🥹
Kwani changamoto huwa ni nini haswa? Naomba msaada kwani nina safari ya tarehe 18/04🥹