Msaada: Huwa inachukua muda gani kupata passport baada ya kukamilisha taratibu zote za maombi?

Msaada: Huwa inachukua muda gani kupata passport baada ya kukamilisha taratibu zote za maombi?

Habarini huku ,hivi Kuna shida gani uamiaji ?Mbona kijana wangu ameomba passport tangu October 2024 na ana viambatanisho vyote vya shule na anatakiwa awasilishe passport kwenye shule kwanza ndio apewe barua ya invitation, uhamiaji Dar walimwambia arudi baada ya siku 21 mpaka leo anaenda anaambiwa haijatoka je unahitajika umjue mtu ndio documents huko serikalini zifanyiwe kazi au mimi sijaelewa .Dr Anna Makala Kuna shida uamiaji au mimi sielewe
 
Back
Top Bottom