Ungetafuta staff mmoja wa uhamiaji uongee naye kikubwakivipi boss
Changamoto kama hiyo ndio nnayopitia sasa aiseeMe kupata passport imekua changamoto kidogo coz cheti changu cha kuzaliwa kilikosewa tarehe ya kuzaliwa
Nkaenda Rita kubadili cheti cha kuzaliwa nkafanikiwa nkapeleka Kule uhamiaji lakini cha ajabu Passport ikatoka ikiwa imeandikwa Ile tarehe ya mwanzo ya kuzaliwa yenye makosa (cheti cha mwanzo)
Nimeirudisha ile passport uhamiaji ili waanze upya mchakato
Wameniambia kuwa passport kukosewa tarehe ya kuzaliwa sio big issue lakini mimi sijaridhika kabisa nimekubali kuingia hasara ya kujaza form upya
WizaraniKwa dsm ikiwa tayar unakwenda kuchukulia wapi naomba kufahamishwa maana nimeambiwa pale kurasini sio kwa kuchukulia
Posta pale wizara ya mambo ya ndaniKwa dsm ikiwa tayar unakwenda kuchukulia wapi naomba kufahamishwa maana nimeambiwa pale kurasini sio kwa kuchukulia
Pole mkuu, Me nlianza upya na nshafanikiwaChangamoto kama hiyo ndio nnayopitia sasa aisee
Pole mkuu, Me nlianza upya na nshafanikiwa
Shukrani chiefPosta pale wizara ya mambo ya ndani
Wizara ya mambo ya ndaniKwa dsm ikiwa tayar unakwenda kuchukulia wapi naomba kufahamishwa maana nimeambiwa pale kurasini sio kwa kuchukulia
Wanasema siku 10 kawaida ila ukitaka express ni siku 3 lakin gharama ndio zinakua juuWizara ya mambo ya ndani
Ova
Laki na hamsini tu 150,000/=Ili upate passport inahitajika sh ngap wanangu?