Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna siku mshikaji mmoja alikuwa anampeleka mwanamke wake kutoa mimba nikamuuliza hivi unajisikiaje akanijibu "Sasa nitafanyaje" nikamwambia wakati mnafanya bila kinga hamkuwa makini akanijibu "Ajali Kazini" nilichoka kweliIla kuna watu wengine wanajitafutiaga matatizo wenyewe! Mimba ya kwanza umeona umeambiwa uitoe... asa kwanini ajipeleke tena? afu kavikavu sasa! Kwa mtu mwingine...angeshtuka mapema baada ya kuona kilichotokea mara ya kwanza...au angeachana nae...au angekuwa na msimamo kuwa hakuna kufanya kavukavu tena au hakuna kufanyana tena kbs!
Lakini asitoe hiyo mimba...na kama yuko kwa jamaa basi amgande.. na awe makini naye asije akamuwekea kitu kibaya kwenye chakula au kinywaji thn ikawa balaa juu ya balaa...!