The unpaid Seller
JF-Expert Member
- Oct 27, 2019
- 2,113
- 6,251
- Thread starter
-
- #21
Mkuu nilikua nahisi huyu ni koboko aise aise kama ni yeye nimeyatimbaHuyo ni koboko ila ni Bado mtoto sasa hapo baba na mama yake itakuwa wanamtafuta mtoto jipange mkuu
Huyo ni koboko ila ni Bado mtoto sasa hapo baba na mama yake itakuwa wanamtafuta mtoto jipange mkuu
Na je ukimkanyaga bahati mbaya ataelewa ni bahati mbaya na hatakua na shida na wewe ?Nyoka hana shida kama hujamchokoza
Jinsi nilivyonusurika kung'atwa na nyoka wakati nataka kumuokoa
Kwasababu zangu binafsi ambazo sitapenda niziseme (but very reasonable) hua siui kiumbe yoyote aliye hai tofauti na mbu. Kiukweli siwapendi na nawaogopa sana nyoka ila hata wao imekua ikiniwea vigumu kuwaua hivyo pindi napokutana nao hua naishia kuwafukuza au kuwapotezea kama wameenda eneo...www.jamiiforums.com
Ngoja nikutag na picha kaa hapo hapo.Nimescroll fasta ili nisimuone huyo nyoka nishindwe kulala usiku mie!
Sio black mamba huyo, kwa haraka huyo ni brown house snake...Mkuu nilikua nahisi huyu ni koboko aise aise kama ni yeye nimeyatimba
usiogope ikitokea unatakiwa kumkabili ili kuilinda familia yako mkuuNimescroll fasta ili nisimuone huyo nyoka nishindwe kulala usiku mie!
Sahihi kabisa tatizo watu hawana elimuSio black mamba huyo, kwa haraka huyo ni brown house snake...
Upo maeneo ya wapi tujue eneo hilo Kuna nyoka wa aina gani wenye rangi hiyo.
Nilipo Mimi Kuna nyoka rangi Kama huyo anafanana Sana na black namba lakini si yeye.
Mfunue mdomo ukiona ana rangi nyeusi mdomoni kwa ndani ujue huyo ni black namba (koboko).
Note: Kuna nyoka wengi Wana rangi hiyo. Usingemponda ponda tungeona vizuri shingo take na kichwa tungemtambua.iq
Karibu tulale mkuuNimescroll fasta ili nisimuone huyo nyoka nishindwe kulala usiku mie!
mkuu kama watakua ni black mamba je natakiwa kukabiliana nao kwa mtindo upi ili kuwa katikanafasi ya kuwashinda.Upo maeneo ya wapi tujue eneo hilo Kuna nyoka wa aina gani wenye rangi hiyo.
Nilipo Mimi Kuna nyoka rangi Kama huyo anafanana Sana na black namba lakini si yeye.
Mfunue mdomo ukiona ana rangi nyeusi mdomoni kwa ndani ujue huyo ni black namba (koboko).
Note: Kuna nyoka wengi Wana rangi hiyo. Usingemponda ponda tungeona vizuri shingo take na kichwa tungemtambua.
Sifungui😂Ngoja nikutag na picha kaa hapo hapo.
Kama ni Morogoro basi atakuwa ni BROWN HOUSE SNAKE ambao wanapenda sana kukaa kwenye makazi ya watu wakila panya, mijusi. Ni nyoka wasio na sumu na ni completely harmless to humans.Asante mkuu, kwa bahati mbaya kichwa chake nilikiponda kabisa wakati nakabiliana nae. Ila hapa ni Morogoro