macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Nahisi jamaa alishatuma hizo taarifa sasa ana wasiwasi kama ataweza kupigwa. Anavyoelezea na kung'ang'ania inaonyesha alishatuma na hapa amekuja kuuliza kiana kama kuna madhara.We jamaa ubongo wako unachelewa sana ku-load.
Aya mtumie basi hizo taarifa zote anazozitaka. Assume kama hakuna mtu uliyemshirikisha au kumuomba msaada wa mawazo katika hili humu JF.
Sent using Jamii Forums mobile app
π π π , nami ilinitokea nikiwa mwaka wa 2 kama hii ya kwako aisee, nikapiga hesabu nikaona hii pesa ndefu sana siwezi ihifadhi kwenye a/c yangu, acha nimshirikishe mzee wangu...Lakini kabla ya kumshirikisha nikamshtua rafiki yangu mmoja hv akanambia naye alitumiwa, hivyo ni matapeli...Ilinikuta nikiwa Chuo Mlimani mwaka wa kwanza. Binti mzuri anadai ni mtoto wa marehemu John Garang. Mshua wake kamuachia midolali anatafuta mtu kutoka nchi yenye amani ahamishie hizo pesa. Alikuwa kaahidi parcent kwenye mgao. Nilichanganyikiwa baada ya kupiga hesabu ya mgao. Nikajisemea dili likitiki naacha chuo. [emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo wewe unahisi nimekosea kuuliza hayo maswali hapo.We jamaa ubongo wako unachelewa sana ku-load.
Aya mtumie basi hizo taarifa zote anazozitaka. Assume kama hakuna mtu uliyemshirikisha au kumuomba msaada wa mawazo katika hili humu JF.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi mtu akimwambia usiende sehem flani hapafai na wewe ukamuuliza hapafai kwasababu gani unakuwa umekoseaNahisi jamaa alishatuma hizo taarifa sasa ana wasiwasi kama ataweza kupigwa. Anavyoelezea na kung'ang'ania inaonyesha alishatuma na hapa amekuja kuuliza kiana kama kuna madhara.
Kabla huja tuma fanya uchunguzi wa kumtosha maana now days kuna kitu kinaitwa IDENTIFY THEFT ...be careful ndugu yetu..watakuibia identify yako na waitumie kufanya uharifu(inturn itaonekana umefanya wewe)Kuna mtu nimekutana nae kwenye Linkedin na kujinasibu kuwa yupo Israel. Anafanya kazi kwenye kampuni ambayo huwa inafanya investment na kuprovide fund for investment.
Sasa alikuwa anataka kuja ku invest Tanzania. Akaomba ushauri maeneo amabayo anaweza kuwekeza. Nikampa ushauri na amependa kuwekeza kwenye Tanzanite.
Sasa anataka kutengeneza mkataba wangu na wake ili alirelease fund kwani nilimwambia inabidi kwanza tufungue kampuni na kufungua kampuni kuna gharama kidogo.
Sasa kinachonipa wasiwasi ni kwanini anasema anataka kurelease fund so fast. Hajaniomba account namba yangu wala hela. Info anayohitaji ndio hiyo hapo chini.
Naombeni msaada wakuu kuna info yoyote hapo inaweza msaidia kunipiga hela? Maana naogopa sana technology.
View attachment 1329888
Sent using Jamii Forums mobile app
Umekuwa unaonyesha kutoamini kama hao watu ni matapeli. Umeambiwa ni matapeli halafu wewe bado unang'ang'ania kuwa hata ukipeleka contacts zako hakuna madhara! Hata kama hakuna madhara kwa nini upoteze muda na matapeli..Hivi mtu akimwambia usiende sehem flani hapafai na wewe ukamuuliza hapafai kwasababu gani unakuwa umekosea
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ina maana utamuona kwa sura kuwa si mu islael, na pengine anaweza hata kuwa ni mtoto wa miaka 16 ndio anayekuchezesha tena yuko tarime
Utagongwa acha tamaa za kijinga jinga inaonekana wewe mtoto mdogo sanaaa.Wakuu ndio maana nimekuja kupata ushauri hapa. Je hizo info hapo anazozitaka zinatosha kumuibia mtu? Je akitaka account alafu nikimwambia nifungue separate account ambayo mimi nikuwa siitumii nitakuwa nimekisea? Hayo tu wakuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Boss unakaribisha wageni ndani huku umejifungia na komeo[emoji85]kuna watu wanatapeliwa kwa njia hii? Mm walinijaribu kwa njia hii way back 2007 huko nikiwa undergraduate!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mtu anapigwa kwa kutoa business plan, namba ya simu, na identity card number? Nimeuliza watu wengi wamesema hizo info hapo juu hazina madhara
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwambie akutumie wewe funds za kufunguwa kampuni Tanzania.Kuna mtu nimekutana nae kwenye Linkedin na kujinasibu kuwa yupo Israel. Anafanya kazi kwenye kampuni ambayo huwa inafanya investment na kuprovide fund for investment.
Sasa alikuwa anataka kuja ku invest Tanzania. Akaomba ushauri maeneo amabayo anaweza kuwekeza. Nikampa ushauri na amependa kuwekeza kwenye Tanzanite.
Sasa anataka kutengeneza mkataba wangu na wake ili alirelease fund kwani nilimwambia inabidi kwanza tufungue kampuni na kufungua kampuni kuna gharama kidogo.
Sasa kinachonipa wasiwasi ni kwanini anasema anataka kurelease fund so fast. Hajaniomba account namba yangu wala hela. Info anayohitaji ndio hiyo hapo chini.
Naombeni msaada wakuu kuna info yoyote hapo inaweza msaidia kunipiga hela? Maana naogopa sana technology.
View attachment 1329888
Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha ukaidi na ushamba, watu wote washakwambia huyo ni tapeli inaonesha huwaamini bado. Ukimpigia skype au video call utapata kumuona na utaweza kujuwa ni choka mbaya. Account ukimpa anaweza kuibia pesa watu akazitia humo kwanza halafu akazitowa wewe bila ya kujuwa. Matokeo yake utatafutwa wewe! Kitu gani hufahamu hapo?Wakuu ndio maana nimekuja kupata ushauri hapa. Je hizo info hapo anazozitaka zinatosha kumuibia mtu? Je akitaka account alafu nikimwambia nifungue separate account ambayo mimi nikuwa siitumii nitakuwa nimekisea? Hayo tu wakuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Unachokifanya,unatakiwa uende ukajionee mwenyewe.Hivi mtu akimwambia usiende sehem flani hapafai na wewe ukamuuliza hapafai kwasababu gani unakuwa umekosea
Sent using Jamii Forums mobile app