Kaka inaonekana wewe ni mgeni wa mambo ya utapeli wa mitandao
Ipo hivi ataenda na wewe taratibu sana hadi mwisho utampa hizo bank details.
Sasa ipo hivi ukimpa jina na account namba kwa ukuaji wa technology anaweza kutengeneza kadi ya bank kwa kutumia hizo details na kuweza kuhack account yako halisi ya bank.
Vilevile anaweza kukuomba utume tranfer fees ili uingiziwe pesa, ukimtumia hiyo tranfer fees ujue umeshapigwa kaka.
Now days technology imekuwa sana ndio maana bank ukienda kutoa pesa kwenye ATM jitahidi ile lisiti ya kutoa au kuangalia salio unaichana,
Sent using
Jamii Forums mobile app