Msaada: Huyu ni tapeli au sio wakuu?

Msaada: Huyu ni tapeli au sio wakuu?

Swali langu kubwa ni je information apo mabayo inaweza ikawa mbaya kwa upande wangu? Najua siwezi toa acc no, pesa wala info yoyote ya jwangu kuhusu pesa. Nikitoa info alizozitaka hapo juu kuna ubaya? Nataka nijue hapo kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka inaonekana wewe ni mgeni wa mambo ya utapeli wa mitandao
Ipo hivi ataenda na wewe taratibu sana hadi mwisho utampa hizo bank details.

Sasa ipo hivi ukimpa jina na account namba kwa ukuaji wa technology anaweza kutengeneza kadi ya bank kwa kutumia hizo details na kuweza kuhack account yako halisi ya bank.

Vilevile anaweza kukuomba utume tranfer fees ili uingiziwe pesa, ukimtumia hiyo tranfer fees ujue umeshapigwa kaka.

Now days technology imekuwa sana ndio maana bank ukienda kutoa pesa kwenye ATM jitahidi ile lisiti ya kutoa au kuangalia salio unaichana,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nishawazoea na wengi huwa wanataja Senegal. Tapeli tu huyo ukitaka akukimbie mwambie mzungumze kwa WhatsApp video call. Mara nyingi wanapenda muwasiliane kwa email

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanakuonea wivu tu mkuu,endelea kutoa details tena nakushauri usisahau kuweka na no. Yako ya cheti chako cha la 7,form 4&6 na cheti cha kuzaliwa, kuna wenzako walipata 'mabilioni' kwa style yako.

Endelea hivyo hivyo utaleta feedback hapa jamvini 'kutushukuru'.
Sasa mtu anapigwa kwa kutoa business plan, namba ya simu, na identity card number? Nimeuliza watu wengi wamesema hizo info hapo juu hazina madhara

Sent using Jamii Forums mobile app

dodge
 
Kaka inaonekana wewe ni mgeni wa mambo ya utapeli wa mitandao
Ipo hivi ataenda na wewe taratibu sana hadi mwisho utampa hizo bank details.

Sasa ipo hivi ukimpa jina na account namba kwa ukuaji wa technology anaweza kutengeneza kadi ya bank kwa kutumia hizo details na kuweza kuhack account yako halisi ya bank.

Vilevile anaweza kukuomba utume tranfer fees ili uingiziwe pesa, ukimtumia hiyo tranfer fees ujue umeshapigwa kaka.

Now days technology imekuwa sana ndio maana bank ukienda kutoa pesa kwenye ATM jitahidi ile lisiti ya kutoa au kuangalia salio unaichana,

Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo yote nafaham mkuu. Mimi nishatumiwa mpaka contract ya kupata kazi marekani baada ya interview. Nikaambiwa nifanye kitu kinaitwa security check-vetting ya securiy. Nikakatumiwa form kutoka USA inaitwa terrorist vetting. Baadae nikaambiwa nitume hela kwa ajili ya kucheki hii security. Nikawaambia kuna jamaa yangu yupo new york kwa hiyo wanielekeze hiyo ofisi yao ilipo ili jamaa yangu awepelekee hapo new york walipo. Jamaa wakaingia mitini. Of course nilikuwa nawadanganya nilikuwa sina mtu NY

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani nataka kujua kwanini niombe kiongea nae kweny skype sio means nyingine labda

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah mkuu kuwa na idea. Nimeangalia code number ya simu yake ni ya italy. Simu yake ninayo

Sent using Jamii Forums mobile app
We jamaa ubongo wako unachelewa sana ku-load.

Aya mtumie basi hizo taarifa zote anazozitaka. Assume kama hakuna mtu uliyemshirikisha au kumuomba msaada wa mawazo katika hili humu JF.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom