Ndebile JF-Expert Member Joined Sep 14, 2011 Posts 7,745 Reaction score 11,267 Jul 28, 2013 #21 Danp36 said: combination gani?kama ni PCM,PGM,ECA,PCB,EGM,HGE,CBG,.USIJARIBU NAKUSHAURI USIFANYE HIVYO. Click to expand... Mwaka juzi nilikuja na swali kama hilo la mleta mada, nasoma CBG-practically haiwezekani, pamoja na kwamba nasoma mwenyewa(sina mwalimu) na nina bidii kweli hata hivyo ndio nipo kwenye robo tatu ya "silabasi"
Danp36 said: combination gani?kama ni PCM,PGM,ECA,PCB,EGM,HGE,CBG,.USIJARIBU NAKUSHAURI USIFANYE HIVYO. Click to expand... Mwaka juzi nilikuja na swali kama hilo la mleta mada, nasoma CBG-practically haiwezekani, pamoja na kwamba nasoma mwenyewa(sina mwalimu) na nina bidii kweli hata hivyo ndio nipo kwenye robo tatu ya "silabasi"
S Suplier Senior Member Joined Feb 20, 2013 Posts 110 Reaction score 9 Jul 28, 2013 #22 wakuu kama mtu unapiga HGE eti ukipata f ya bam unapigwa penalty? Msaada wenu wakuu
Darius JF-Expert Member Joined Jun 16, 2013 Posts 1,951 Reaction score 320 Jul 28, 2013 #23 Suplier said: wakuu kama mtu unapiga HGE eti ukipata f ya bam unapigwa penalty? Msaada wenu wakuu Click to expand... duuh we mgen nn wa advance!! Hamnaga penalt ya bam! Bt kuna penalt ya Gs!! Overrrr
Suplier said: wakuu kama mtu unapiga HGE eti ukipata f ya bam unapigwa penalty? Msaada wenu wakuu Click to expand... duuh we mgen nn wa advance!! Hamnaga penalt ya bam! Bt kuna penalt ya Gs!! Overrrr
AfricaUnited JF-Expert Member Joined Jul 31, 2010 Posts 2,367 Reaction score 1,293 Jul 28, 2013 #24 Darius kamugisha said: duuh we mgen nn wa advance!! Hamnaga penalt ya bam! Bt kuna penalt ya Gs!! Overrrr Click to expand... ya kuna penat ya gs ,bam ata upate f haikusaidi kitu,ila itakulimit kuchagua course kama o level hukupata d au c ya math
Darius kamugisha said: duuh we mgen nn wa advance!! Hamnaga penalt ya bam! Bt kuna penalt ya Gs!! Overrrr Click to expand... ya kuna penat ya gs ,bam ata upate f haikusaidi kitu,ila itakulimit kuchagua course kama o level hukupata d au c ya math
S Suplier Senior Member Joined Feb 20, 2013 Posts 110 Reaction score 9 Jul 29, 2013 #25 Darius kamugisha said: duuh we mgen nn wa advance!! Hamnaga penalt ya bam! Bt kuna penalt ya Gs!! Overrrr Click to expand... asante munguuuu thanxxx dah... Darius kamugisha umenitoa matongotongo nlikuwa nahofia had nlikuwa nibadilishe comb Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Darius kamugisha said: duuh we mgen nn wa advance!! Hamnaga penalt ya bam! Bt kuna penalt ya Gs!! Overrrr Click to expand... asante munguuuu thanxxx dah... Darius kamugisha umenitoa matongotongo nlikuwa nahofia had nlikuwa nibadilishe comb