Msaada;hv Masomo Ya 'A'-LEVEL, Inawezekana kusoma mwaka mmoja na ufaulu ukawa mzuri?

Msaada;hv Masomo Ya 'A'-LEVEL, Inawezekana kusoma mwaka mmoja na ufaulu ukawa mzuri?

combination gani?kama ni PCM,PGM,ECA,PCB,EGM,HGE,CBG,.USIJARIBU NAKUSHAURI USIFANYE HIVYO.
Mwaka juzi nilikuja na swali kama hilo la mleta mada, nasoma CBG-practically haiwezekani, pamoja na kwamba nasoma mwenyewa(sina mwalimu) na nina bidii kweli hata hivyo ndio nipo kwenye robo tatu ya "silabasi"
 
wakuu kama mtu unapiga HGE eti ukipata f ya bam unapigwa penalty? Msaada wenu wakuu
 
wakuu kama mtu unapiga HGE eti ukipata f ya bam unapigwa penalty? Msaada wenu wakuu

duuh we mgen nn wa advance!! Hamnaga penalt ya bam! Bt kuna penalt ya Gs!! Overrrr
 
Back
Top Bottom