Doyi
JF-Expert Member
- Dec 4, 2011
- 1,578
- 1,894
JuZ kat sikuwa na habar kama hizi simu za iphone matoleo ya nyuma wanazizima zisifanye kaz tena.nikiwa sina hili wala lile ghafla simu nikaona haifanyi kaz imejizima...nikajaribu kuiwasha ikashindikana na sikuiangusha wala kuiharibu kokote..kwenda kwa fundi anasema iphone wameamua kuzima hizi simi za zamani.kinachoniuma kuna taarifa zangu nyingi mule.je nawezaje kuzipata hizo taarifa?? Maana fundi alisema ye hapo hana ujanja zaidi,kwa yeyote anayejua tafadhali anijuze.asante