mkuu ulipigwa changa la macho, hakuna iphone iliyozimwa, sema tu iphone za zaman kama iyo 6 haiwez pandisha ios version, imeishia 12, lakin pia kwa ishu ya kupata data zako, ukilog in icloud acount yako kwenye kifaa kingine, iwe simu, au computer, data zako unazipata..otherwise peleka kwa fund ambae atajua tatizo nn na kuirekebisha inaweza kupona pia