msaada IFM first year registration tafadhali

msaada IFM first year registration tafadhali

we ----- ulikuwa na kelele sana wakati fulani umu jf hadi ukasababisha nikapigwa ban...kumbe lyf gumu tu ujuaji mwingi mngese ww

Hahaaaa pole kaka....wewe ban ulijisababishia mwenyewe tu usinisingizie mie...halafu boom lisikupe kichwa ukajiona bosi ndugu yangu watanzania wengi sie masikini tu.....mwisho kabisa silali na deni m.senge mwenyew
 
Mimi nimemaliza reg jana...ila watu wengi naona wakijisajili ni wa master,bachelor bdo ni 0.0
 
Nyie wote wenye matatizo ya registration ifm andikeni barua pelekeni kwa Principle(rector) Prof. Mjema, mimi nimemaliza hapo
 
Back
Top Bottom