msaada ili niondokane na hili tatizo.

msaada ili niondokane na hili tatizo.

love peace

Senior Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
130
Reaction score
37
habari wana jf doctor?.jumanne nliamka kichwa knauma sana kwenye paj la uso.bas nkanywa panadol kikapona lakin jion kikaanza tena sa kikawa kinauma mara kweny paji,mara utosin au pemben na sasa hiv kinauma kwa mbal au kinazid.nauliza je?ndio kipanda uso?kama ndio chenyew dawa yake ni nin?
 
Kapime,maleria,typhoid na minyoo.kama uko poa basi penda kunywa maji si ya baridi na penda kula mboga chungu.
 
Back
Top Bottom