love peace
Senior Member
- Sep 10, 2013
- 130
- 37
habari wana jf doctor?.jumanne nliamka kichwa knauma sana kwenye paj la uso.bas nkanywa panadol kikapona lakin jion kikaanza tena sa kikawa kinauma mara kweny paji,mara utosin au pemben na sasa hiv kinauma kwa mbal au kinazid.nauliza je?ndio kipanda uso?kama ndio chenyew dawa yake ni nin?