AfricaUnited
JF-Expert Member
- Jul 31, 2010
- 2,367
- 1,293
jaman wanajamvi za asubuh,naomba kujulishwa ilipo taasisi ya taaluma za kiswahili na adress zake kama inawezela.hata location itansaidia.asanteni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui wewe ni genious kiasi gani? Ni wapi aliposema anataka kwenda kusoma Kiswahili? Anayetaka kusoma kiswahili si ana apply kupitia TCU au Chuo husika? Kama hujui majukumu ya TATAKI ni yapi kaa kimyaKulikoni TATAKI unataka ukasome Bachelor ya KISWAHILI nini? nawashangaa watu kama nyie mnaomba mikopo kwenda kusoma KISWAHILI university ningekuwa bodi ya mikopo nisingewapa mikopo maana mnapoteza pesa bure kusoma up.u.pu wa VISHAZI na VIRAI miaka kibao