Msaada:-Ilonga Teachers College

Msaada:-Ilonga Teachers College

Kanju

Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
23
Reaction score
6
Habari za wakati huu wanajamiiforums wenzangu,,,!
Ni matumaini yangu kuwa mko powa na mnaendelea vema na majukumu yenu ya kila siku katika ujenzi wa Taifa letu.
Naomba kama kuna mtu anaweza kunisaidia kupata joining instructions ya Ilonga Teachers College ya mwaka huu anitumie kupitia email hii:-kanjuathuman@gmail.com kuna ndugu yangu kapangwa chuoni hapo na uwezekano wa kuipata hiyo form kupitia anuani ya posta ni mgumu.
 
Back
Top Bottom