MSAADA: Inaruhusiwa kuanzisha shule inayoshia darasa la 6 au kidato cha 3?

MSAADA: Inaruhusiwa kuanzisha shule inayoshia darasa la 6 au kidato cha 3?

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
9,189
Reaction score
16,128
Hapa namaanisha shule ambayo wanacover shule ya msingi kwa miaka 6 na kufanya mtihani wa taifa. Au ambayo masomo ya form one hadi form four wanacover kwa miaka mitatu na kufanya mtihani. Inaruhusiwa kuwa na shule ya namna hii?
 
Mimi Nina Shule inaishia Darasa la 5 Mwanafunzi anakuwa umemaliza
 
Hili Swali Lako hujaspecify kuwa Unaruhusiwa na nani?

Kiserikali hilo haliwezekani kwa kuwa ilishatoa Muongozo Elimu Ya Msingi mpaka La Saba, na Elimu ya Sekondari form one hadi form four hlf five na Six.

Ila unaweza pata Wakurungwa Wakakuruhusu hicho unachotaka...!
 
Hapa namaanisha shule ambayo wanavocover shule ya msingi kwa miaka 6 na kufanya mtihani wa taifa. Au ambayo masomo ya form one hadi form four wanacover kwa miaka mitatu na kufanya mtihani. Inaruhusiwa kuwa na shule ya namna hii?
Hapana haiwezi kuwa sahihi kwako wewe mwenye shule na haitakuwa nzuri kwa wanafunzi pia kwa maana hizo ni hatima zao sasa wakisoma katika shule yako bila kujitim ili wakahitim katika shule nyingne haipendez na sio nzuri kabsa na shule yako itakuwa imekosa sifa
 
Wapo wanaosoma secondary miaka miwili kisha mecta wanakua watahiniwa binafsi. Hivyo kama ni kituo inakua ruksa ila sio shule
Seminary wanasomaga miaka 5 olevel. Kwanini isiwezekane kusoma 3?
 
Hapa namaanisha shule ambayo wanavocover shule ya msingi kwa miaka 6 na kufanya mtihani wa taifa. Au ambayo masomo ya form one hadi form four wanacover kwa miaka mitatu na kufanya mtihani. Inaruhusiwa kuwa na shule ya namna hii?
Kwa nini usifanye elimu ya primari miaka minne na sekondari O level miaka miwili, na A level mwaka mmoja.
Degree miaka miwili tu, tutapasua.
 
Sidhani kama inaruhusiwa japokuwa shule ya msingi niliyosoma ilikuwa kawaida kuishia la 6 na kuanza Form 1.
 
Back
Top Bottom