Inawezekana!ila mziki wa open naskia ni mnene..so jipange
Inawezekana sana ila shida itakuwa wakati kuandika exams.. Itabd 1 iwe unafanya special 2
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
asante mkuu,ila naomba unipe details zaidi hapo kwenye exams.
I min vyuo vingi muda wa pepas unakuwa sawa. So in case pepas zimengukia muda m1 itabd pepa za chuo k1 uzifanye kama specials exams baada ya kuwaandikia barua.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums