Wakuu!
Nimependa nilete mada hii baada ya Kuona CV ya mhe:mmoja ambaye wakati akisoma B.A.Economics pale Udsm mwaka huo huo alikuwa anasoma kozi ya mambo ya Utawala katika chuo kingine(Institute).
Je,inawezekana mwakani nikaomba nafasi OUT?kwa sasa nachukua shahada ya kwanza.Hivyo nitakuwa nasoma kozi mbili kwa wakati moja.