Pastory Kimaryo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 967
- 668
Toa cover kisha zima na kuwasha simu yako .
Habarini wana jamvi wa JF tech,
Bila kupoteza muda niende kwenye swala langu; kuna infinix hapa inaonekana kuna mtu ameichezea afu kaiingiza safe mode, zile applications zote zilizokuwa downloaded hazipo na kuna kinotification hapo juu kinasema simu ipo safe mode.
Chonde jamani naombeni msaada wenu simu ndio bado mpyaaaaaa!
Kwani haiwezekani kuzima mpaka atoe cover kiongozi au kuna uhusiano gani wa kuzima simu na kutoa cover mkuu...?
Thanks, this one workedToa cover kisha zima na kuwasha simu yako .
Kwahiyo unataka kusema ili simu iingie safe mode ndio kushikilia vol down au?Mkuu ile cover huwa inashikilia batani za vol up pamoja na vol down, so vol down ikishikiliwa na cover lazima iwe na safe mode.
Kwahiyo unataka kusema ili simu iingie safe mode ndio kushikilia vol down au?
Thanks, this one worked
ImeponaTunangoja Mrejesho
Hiyo safe mode naweza ingia hata kwa hii tecno F1 yangu?Yes mkuu, hasa hizi cover huwa zinabana sana hizo vol za kuongeza na kupunguza.
Afu hii safe mode sijui ina kazi gani hasa.Yes mkuu, hasa hizi cover huwa zinabana sana hizo vol za kuongeza na kupunguza.
Hiyo safe mode naweza ingia hata kwa hii tecno F1 yangu?
Just long pressing the vol down button for some 30 sec si ndio?Ndio inaingia, karibia simu zote za android
Pongezi Serikali Yetu!!!Imepona
Maswali machache:Safe mode hua inakua activated pale wakati unaiwasha ukashikilia volume down.
Hii hufanya simu iwake bila apps zote ulizodownload na hata ukidownload ukiinstall hutaziona.
Hii ni pale unapohisi simu ina virusi vikiwa vimesababishwa na app uliyodownload so ukiiwasha in safe mode kama ni app ndiyo yenye kirusi utaona simu inaoperate inavyotakiwa.
Safe mode huipati simu ikiwa on.Maswali machache:
Safe mode naipata wakati "simu inawaka nashikilia vol down" tu au hata ikiwa ikiwa on naweza kuipata kwa namna fulani?
Unaposema katika safe mode simu inaoperate kawaida manake hiyo safe mode ipo tu kama mbadala wa interface inayosumbua(corrupted) au ni kwaajili ya kutrableshoot tatizo limetokana na nini?