Msaada: Infinix ipo kwenye safe mode

Msaada: Infinix ipo kwenye safe mode

Safe mode huipati simu ikiwa on.

Niliposema kawaida nilimaanisha bila glitch. Mfano kuna app unaweza install ukashangaa inakuletea ads nyingi au simu inakua slow.

Hivyo kama ukiwasha katika safe mode na ukawa huzioni hizo glitch inamaanisha kuna app ndiyo zilikua zinasababisha hivyo.
Anhaaa, hapo nadhani nimekuelewa utofauti wa safe mode na normal mode ni downloaded apps, kama tatizo litakuwa linaendelea na kwenye safe mode basi shida itakuwa kwenye system yenyewe la sivyo itakuwa ni downloaded (custom) app/apps si ndio?
 
Yea upo sahihi
 
Unapo hold volume down kisha ukawasha simu baadhi ya simu zinakuwa katika safe mode na baadhi zitakwenda katika fastboot
Fast boot manake simu inaskip boot animation au ndio ile menu ya kufanya hard reset na mengineyo?
 
Hata kama pc ina safe mode haiwezi fanya kazi kama katika simu. Ni safe mode au sleep mode?
PC nazo zina safe mode mkuu na nimewahi kuingia mara kadhaa ila ndo sijui kama inatumika kama ya kwenye simu au vepe.
 
Back
Top Bottom