Pastory Kimaryo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 967
- 668
- Thread starter
- #21
Anhaaa, hapo nadhani nimekuelewa utofauti wa safe mode na normal mode ni downloaded apps, kama tatizo litakuwa linaendelea na kwenye safe mode basi shida itakuwa kwenye system yenyewe la sivyo itakuwa ni downloaded (custom) app/apps si ndio?Safe mode huipati simu ikiwa on.
Niliposema kawaida nilimaanisha bila glitch. Mfano kuna app unaweza install ukashangaa inakuletea ads nyingi au simu inakua slow.
Hivyo kama ukiwasha katika safe mode na ukawa huzioni hizo glitch inamaanisha kuna app ndiyo zilikua zinasababisha hivyo.