Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja JituMirabaMinne aje hapa
Ingine G16?Gari zishachoka hizo gari..zina miaka karibu 30 sasa sokoni. Tafuta msukuma mmoja muuzie au ufugie kuku. Nunua toleo jingineWadau nina gari aina ya Suzuki Escudo, tulibadilisha slinder head gasket baada ya gari kugoma kuwaka na kuchanganya maji.
Sasa injini haizunguki kabisa ijapokuwa mwanzoni iliwaka kwa kumiss sana.
Maoni yenu wadau.
Usikatishwe tamaa na walalahoi wenzangu wa hapa JF ambao mara nyingine ukiwasikiliza sana utapotea. Tafuta fundi Mzuri Escudo yako bado inaweza kukusukuma sana hapa Mjini. Zingatia hitajio la Moyo kamwe usitishike na maneno ya vijembe toka kwa wakosaji.Ndio