Msaada: Injini ya Gari kuvuja

kdc

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2013
Posts
637
Reaction score
200
Gari yangu ni Altezza inavuja injini oil sana.Je hili tatizo linaweza kupona kabisa?
Kama ndivyo wapi wapi ninaweza kupata utatuzi niko Dar.

Asanten sana.
 
Linaweza kupona mkuu,kikubwa ni kujua hiyo oil inavuja kutokea wapi,yaani sehemu gani ya gari?
 
Linaweza kupona mkuu,kikubwa ni kujua hiyo oil inavuja kutokea wapi,yaani sehemu gani ya gari?
Kweli kabisaa kwanza ujue inavujia sehemu gani pili uangalie kama nikwenye.bridha au kwenye gasketi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…