Msaada injini

Msaada injini

imatata13

New Member
Joined
Mar 24, 2015
Posts
3
Reaction score
0
Msaada injini gani ya toyota naweza funga kwa hii pajero
IMG-20170128-WA0009.jpg
IMG-20170128-WA0008.jpg
IMG-20170128-WA0005.jpg
 
Kufutwa kwa road licence kumetuokoa wengi. Tunafufua vilivyolala
 
Nunua engine yake zipo kibao funga hapo mkuu.hiyo kitu unayotaka kuifanya ni kuharibu gari na utapoteza pesa nyingi.gari yenyewe itakuwa ya kuunga unga
 
Back
Top Bottom