Msaada: Instagram account ya biashara inagoma

Msaada: Instagram account ya biashara inagoma

Kadi ina ela
Alafu pia huwa na promote bidhaa siku moja moja ikiisha nasizi
Au natakiwa kulipia lets say monthly?
Usiendeleze activity yoyote ya ads hadi utatue Facebook Ads, hii itakusaidia kutofanya suspicious activities zinazoweza pelekea kufungiwa. Relax
 
Hii haina Neno,

Unalipa unayotaka mwenyewe, hulazimishwi kulipia kila wakati.
Naona nikiipata nakuta hivi @isajorsegio

Screenshot_20210420-123154_WhatsApp.jpg
 
Natumia sim.na hii acc ya insta ilikua connected na fb

Hapo ndo nashangaa inavyoniambia ad accont haifanyi kazi.yaani nikiclick bidhaa kupromote inasema sina ruhusa
Oke Mrs Dee ingia katika aplikesheni yako ya Facebook > Settings > Ads Payment

Inaonesha hali gani?
 
Back
Top Bottom