Msaada: Interview ya ufadhili wa masomo inayotolewa na BoT ikoje? Huwa inakuwa na maswali ya aina gani?

Msaada: Interview ya ufadhili wa masomo inayotolewa na BoT ikoje? Huwa inakuwa na maswali ya aina gani?

Joined
Aug 14, 2018
Posts
17
Reaction score
12
Je, kuna mtu humu ndani alishawahi kufanyaga interview ya ufadhili wa masomo inayotolewa na Bank of Tanzania (BoT)?

Kama umeshawai kufanya ni maswali yapi huwa wanapendelea kuuliza?

Kwa anayejua anisaidie.
 
Ufadhili wa masomo kwa ngazi hipi? Vyuo vyakati, masters,degree au advance ?
 
Back
Top Bottom