Y Yona simon ngwatu Member Joined Aug 14, 2018 Posts 17 Reaction score 12 Jul 21, 2024 #1 Je, kuna mtu humu ndani alishawahi kufanyaga interview ya ufadhili wa masomo inayotolewa na Bank of Tanzania (BoT)? Kama umeshawai kufanya ni maswali yapi huwa wanapendelea kuuliza? Kwa anayejua anisaidie.
Je, kuna mtu humu ndani alishawahi kufanyaga interview ya ufadhili wa masomo inayotolewa na Bank of Tanzania (BoT)? Kama umeshawai kufanya ni maswali yapi huwa wanapendelea kuuliza? Kwa anayejua anisaidie.
M.Rutabo JF-Expert Member Joined Apr 8, 2015 Posts 1,031 Reaction score 2,647 Jul 21, 2024 #2 Ufadhili wa masomo kwa ngazi hipi? Vyuo vyakati, masters,degree au advance ?
Y Yona simon ngwatu Member Joined Aug 14, 2018 Posts 17 Reaction score 12 Jul 21, 2024 Thread starter #3 M.Rutabo said: Ufadhili wa masomo kwa ngazi hipi? Vyuo vyakati, masters,degree au advance ? Click to expand... Masters na advance
M.Rutabo said: Ufadhili wa masomo kwa ngazi hipi? Vyuo vyakati, masters,degree au advance ? Click to expand... Masters na advance
M.Rutabo JF-Expert Member Joined Apr 8, 2015 Posts 1,031 Reaction score 2,647 Jul 21, 2024 #4 Yona simon ngwatu said: Masters na advance Click to expand... Unataka kusoma vyote kwa wakati mmoja?
Y Yona simon ngwatu Member Joined Aug 14, 2018 Posts 17 Reaction score 12 Jul 21, 2024 Thread starter #5 M.Rutabo said: Unataka kusoma vyote kwa wakati mmoja? Click to expand... Rudia kusoma swali lako ulioniuliza afu angalia jibu nililokujibu.
M.Rutabo said: Unataka kusoma vyote kwa wakati mmoja? Click to expand... Rudia kusoma swali lako ulioniuliza afu angalia jibu nililokujibu.
Kaka yake shetani JF-Expert Member Joined Feb 1, 2023 Posts 5,771 Reaction score 14,732 Jul 21, 2024 #6 Ufadhili wao masomo ni uwakala wa mpesa, tigo pesa, aitel money