Msaada interview za Jeshi la Magereza

Msaada interview za Jeshi la Magereza

Jamani maport mbona kimya sana vp kuna ishu yeyote inaendelea magereza tujuzane
Hapa nahisi kuna changamoto huko serikalini ndio zinachelewesha watu kwenda kuripoti kiwira.

Sizani kama ni uongozi wa magereza wenyewe ndio umeamua kuchelewesha mambo hivi.

Na kama ni magereza wenyewe ndio wameamua kuchelewesha mambo hivi basi hawapo serious.
 
polisi nao wamekausha kinoma. tangu tusikie wamepewa kibali cha kuajiri till now kimya .kama ni sensa imekata so sijajua wanasubiria nn hadi sasa??
 
Attachments

  • FB_IMG_1662625125132.jpg
    FB_IMG_1662625125132.jpg
    23.8 KB · Views: 18
Hapa nahisi kuna changamoto huko serikalini ndio zinachelewesha watu kwenda kuripoti kiwira.

Sizani kama ni uongozi wa magereza wenyewe ndio umeamua kuchelewesha mambo hivi.

Na kama ni magereza wenyewe ndio wameamua kuchelewesha mambo hivi basi hawapo serious.
Au bajeti nini haitoshi ?
 
Back
Top Bottom