Msaada interview za Jeshi la Magereza

Polisi huwa wanachelewa usaili wao,hapa uhamiaji ndio watakaoanza
 
yaah baada ya kufungwa kwa maombi uhamiaji huwa wanatoa after 2weeks. mfano january 1 tangazo lili toka deadline ilikuwa trh 14, usahili ukawa trh 28 january bahati mbaya sikutoboa
 
Usaili mlifanyia wapi mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…