Msaada interview za Jeshi la Magereza

Kuna Uzi upo habari mchanganyiko
Mkuu asikujaze mtu kitu chochote.mishahara ya wizara ya mambo ya ndani ni sawa na kama inaachana basi kwa kiasi kidogo sana.nilichokua na uhakika nacho ni posho ambayo ni laki 3 pamoja na pesa ya vinywaji ni laki 3 kila baada ya miezi mitatu(posho pamoja na pesa ya vinywaji ipo sawa kuanzia TPDF mbaka wizara ya mambo ya ndani)
 
Basi wanafanana tu
Ndio mkuu yani utofauti kama upo kwa kwa wizara ya mambo ya ndani basi no mdogo sana kwenye mshahara.ila nakubaliana na mdau mmona pale juu ambae alisema kwa mtu ambae hana fani kabisa mshahara wake ni laki 4 na sidhani kama ni chini ya hapo
 
Mleta mada kuwa makini yaani muda mfupi hivi wawe washa it's kwa mahojiano???
 
Wakubwa kuna lonja gan...?[emoji2363]
 
Jamaa yangu kaniambia usaili magereza wilays niliopo oral walkua saba tu na wanaohitajika 2, wote vgezo wanavyo bad finally wakarusha karatas juu uchague kimoja,bas ukichagua kimeandkwa HAPANA ndio mwendo waliumaliza

Quote Reply
Report

Hahahahaha hahahahahahahahah hii nimeipenda hiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
safi kaka waelekeze vijana wasichague kazi ajira ngumu saiz...
 
Me hata sielewi maana nachanganyikiwa nilihisi ijumaa lakini ikapitaa Sasa sijui wanatuchukuliaje Hawa magereza na uhamiaji sisi tunazitaka kazi hizo
 
Me hata sielewi maana nachanganyikiwa nilihisi ijumaa lakini ikapitaa Sasa sijui wanatuchukuliaje Hawa magereza na uhamiaji sisi tunazitaka kazi hizo

Mkuu wewe uliomba kwa fani..??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…