Dark mode
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 732
- 867
Mkuu asikujaze mtu kitu chochote.mishahara ya wizara ya mambo ya ndani ni sawa na kama inaachana basi kwa kiasi kidogo sana.nilichokua na uhakika nacho ni posho ambayo ni laki 3 pamoja na pesa ya vinywaji ni laki 3 kila baada ya miezi mitatu(posho pamoja na pesa ya vinywaji ipo sawa kuanzia TPDF mbaka wizara ya mambo ya ndani)Kuna Uzi upo habari mchanganyiko