Msaada interview za Jeshi la Magereza

Msaada interview za Jeshi la Magereza

Wakubwa anaejua mishahara upande wa magereza atupe mwanga kidog

Mfano mwalimu wa physics degree upoje mshahara wake

usitoe povu kama huna comment nzuri wazee sio kwa ubayaa
 
Kwa degree za social science hz km ualimu cjui procurement ni 750000 ko utajumlisha na posho ya 300000 kuhusu professional allowance cjui n sh ngapi kwa magereza

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Professional allowance unamaanisha nini kiongozi sorry..!
Professional allowance n posho ya ujuzi mfano kwa MTU mwenye taaluma km huyo bwana alivosema yeye n mwalimu kwa kawaida kwenye majeshi haya huwa kuna hyo posho ya ujuzi lazima ulipwe sasa mbali na mshahara mbali na posho ya kawaida ila cjajua huwa wanapata ngapi aise

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Professional allowance n posho ya ujuzi mfano kwa MTU mwenye taaluma km huyo bwana alivosema yeye n mwalimu kwa kawaida kwenye majeshi haya huwa kuna hyo posho ya ujuzi lazima ulipwe sasa mbali na mshahara mbali na posho ya kawaida ila cjajua huwa wanapata ngapi aise

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app

Anhaaaaa nice nimekupata bro.....kumbe mshahara ni mshahara kama kawaida kama waserikalini kwa taaluma yako afu kinachoongezeka ni hizo posho au
 
Magereza aise wamebaki nyuma kwa kweli..Mana uhamiaji wapo chap na wametoa majina ya kuingia kazini baada ya kozi Yao wanayoanza December Tanga
Fire na wenyewe bado hawajatoa kwa watu wake aisee waliombea makao kama fire kama magereza ,aisee
 
Professional allowance n posho ya ujuzi mfano kwa MTU mwenye taaluma km huyo bwana alivosema yeye n mwalimu kwa kawaida kwenye majeshi haya huwa kuna hyo posho ya ujuzi lazima ulipwe sasa mbali na mshahara mbali na posho ya kawaida ila cjajua huwa wanapata ngapi aise

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Kwa mambo ya ndani sijawahi kuhisikia P.A zaidi ya kuisikia jw ndo nasikia ipo hyo P.A ,,,anaejua adadavue vzr
 
Nice atupe na mfano wa taaluma Yoyote kwa Magereza anapata hio proffesional allowance kiasi gani ili tupate picha halisi
 
Hata wizara ya mambo ya ndani professional allowance wanalipwa sio jw tu ndo mn nimesema sijajua n kias gani lkn wanapewa pia km una taaluma

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Wakubwa anaejua mishahara upande wa magereza atupe mwanga kidog

Mfano mwalimu wa physics degree upoje mshahara wake

usitoe povu kama huna comment nzuri wazee sio kwa ubayaa
Hakuna mwalimu wa Physics kule.
Ukiingia unaajiriwa kama askari Magereza, na mishahara iko kielimu kwahyo ukiingia usijiite sjui mwalimu wa Physics we jiite askari Magereza.
Mshahara wa first degree ni 700K+ kama basic
Ongeza na ration ya 300K per month...

Ukiwa umepigwa na life unaweza kudhani ni ela nyingi sana hizo ila kiukweli waongezewe tu life tigjt sana na kazi zao zile ni ngumu hawapati time....
 
Sijakataaa lakini ukiajiriwa kama mwalimu means utaenda kufanya kazi kwenye shule yao ya sekondary ya magereza
 
Professional allowance n posho ya ujuzi mfano kwa MTU mwenye taaluma km huyo bwana alivosema yeye n mwalimu kwa kawaida kwenye majeshi haya huwa kuna hyo posho ya ujuzi lazima ulipwe sasa mbali na mshahara mbali na posho ya kawaida ila cjajua huwa wanapata ngapi aise

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
15% ya mshahara.
 
Back
Top Bottom