Msaada interview za Jeshi la Magereza

Ndio uzuri wake huo....lakini wakitoa magereza kabla ya jw duh ukipata bora usepe tuu Magereza maaaana jw hadi mtoto wa wazir anaitaka ko ushindani wake sio kitoto
Cha muhimu kitakacho anza hicho hicho tunadeal nacho ndg zang
 
Kipaumbele sio pesa kipaumbele ni kupata nafasi ya kutumikia nchi kwny chombo chochote iwe magereza, au pccb au jw au wizara zingne ,,mambo mengine yatajulikana mbele kwa mbele ,
Kati ya TAKUKURU na JWTZ wapi ukienda utakuwa umeotea mchongo?
 
MAGEREZA WAMETUZINGUA SAANA DAAH MWEZI WA PILI HUU[emoji849][emoji849]
 
Hawa jamaa hawatakagi kigezo cha jkt kwanza labda waanze mwaka huu

Na kama wakitaka jkt hata wewe mujibu unahusika
Usi kalili wale wa kurasini walikua madaktari special course hutaamini kuona watu wamemaliza course ya jw na haujui walienda li
 
Kibogi cha kwanza kwenda rts ni wajenzi wa ikulu halafu makambin watabeba kutokana na mahitaji
Mmmh ...kwa walio kitaa VP ? Si hali itakuwa ngumu ,na cjui watatumia utaratibu gaani kuwakumbuka kuwachukua
 
Hebu iweke saw hii mkuu.. wanaripoti kutokea wapi? Kwa lengo lipi na wa operesheni ipi ?
Itakuwa hawa waliomaliza depo majuzi,kila mwaka wanawachukua kwa ajili ya degree ya kijeshi hivi ya military science nazan au
 
Sijakataaa lakini ukiajiriwa kama mwalimu means utaenda kufanya kazi kwenye shule yao ya sekondary ya magereza
We jikute genius Jamii forums
Kazi ya askari ni Ulinzi hayo mengine ni ziada, kama huna background ya jeshi bora uwe mpole maana utaenda na expectations zako utakimbia kazi yenyewe.

Unahisi we ndo utakuwa mwalimu wa kwanza kuingiza Magereza? Wapo kibao wanalinda wafungwa tu, nimekwambia kazi ya kwanza ya askari ni ulinzi. Jitahidi kunielewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…