Msaada interview za Jeshi la Magereza

Waliomaliza mkataba duuh si wapo kitaa mkuu?
Utaratibu utakuwaje wao kuingia chomboni?
 
Ukisema waliomaliza mikataba na walioko vikosini..je inakuwaje kwa wale ambao walipitaga mujibu idadi ya fighting tit for tat bado ni hiyohiyo 1000?????
Fanya harakati tpdf halinaga longo longo nyingi ni wewe tu na uwezo wako wa kupapatua
 
Kama walivyo ingia polisi, magereza uhamiaji na zimamoto ndivyo hivyo hivyo wataingia na TPDF
Unaweza nidokeza how? Ili mm nianzishe harakati.. maana opportunity ni kubwa kwa ambao wako vikosini kuliko tuliopo mtaa. Hzo ajira za mambo ya ndani ziko open sana na unapeleka barua ofisi husika je hawa jamaa wakimya kimya ndo sijajua mkuu
 

Yote hayo fresh tuu........watoe hilo tangazo tuu tujue moja kuliko kufanya assumptions tuu
 
Yote hayo fresh tuu........watoe hilo tangazo tuu tujue moja kuliko kufanya assumptions tuu
Kila mtu anasema lake, jeshi haliwi specific hata siku moja.

Kama kuna uhitaji wa watu 3000 watakuambia 1000, wana maana yao.

Chamsingi kuhusu idadi itakayo hitajika bado ni mtihani, kama ni sir ni ya mtu mmoja au wawili, wale top kabisa ( high profile)

Vijana kuweni watulivu
 
Wakubwa naomba kujua kwamba wale wa magereza wa elimu za juu wamesha itwa kwenye usaili
 
Daah jamaa wamezingua parefuuu..?????duh hadi leo sjui wanachambua nn tuu
Yawezekana waombaji walikua wengi sana ndo maana zoezi bado linakua pana kwa upande wao ..but uvumilivu tu unatakiwa
 
Yawezekana waombaji walikua wengi sana ndo maana zoezi bado linakua pana kwa upande wao ..but uvumilivu tu unatakiwa

Duh aisee ni noma sana.....watu subra zinataka kutushinda sema hakuna namna tuu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mkuu huo uchambuzi ndo Kama waliofanya zimamoto ,mwisho wa siku unajikuta haupo .

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]dah nikikosa na hapa aisee nitaumia saaaaana maaana jw sikuwez kuna watu wana mbanga huko zakufa mtuuu
 
Wanangu wenye ndoto za Jw tushike jembe tuingie site, wale watoto wa mjini udalali unalipa siku hz. Tukutane kwenye makongamano ya motivesheni spika mwakani.[emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…