fundinaizer
JF-Expert Member
- Dec 15, 2016
- 1,758
- 2,713
M.Mungu asimame upande wetu watukumbuke na sisi tulio mtaani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi nafikiri hao wamepewa kipaumbele tu sabab walijenga ikulu hvyo wanawahi kuanza vipimo kutokana na afya zao macement n.k ila watakao ingia bogi la pili ni hao wa makambini , baba kanituma na zari zarina....ila pia kuna oljoro sijui kama mwaka huu watapigisha ngwasuma.
M.Mungu asimame upande wetu watukumbuke na sisi tulio mtaani.
Uhakika mkubwa ni huo ndio mana kuna picha hapo juu ma-bus yanatoka hapo kuelekea msata.Ina maana walioenda rts ni wa chamwino tuu...!
Umesomea nn mkuuuLazima wachukue uraiani kikubwa ni kuomba mungu taaluma watakazozipa kipaumbele ziwe ni Zile tulizosomea tuu
Umesomea nn mkuuu
Daktari ama?Afya....
Daktari ama?
Kuna baadhi ya vikosi kuanzia jana walikuwa wanahakikiwa wenye fani yoyote ya afya
Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
Tupeane lonja wakuu mibanga tutapambania wenyewe
Dah kmmmk ngoja nichukue jembe langu nikazuie plot kabla sijakosa vyote huu mwaka[emoji41]Jamaa apo juu anasema kuna baadhi ya vikosi washaanza kuandikisha watu wenye fani huko kikosini....[emoji3516][emoji3516]
Dah kmmmk ngoja nichukue jembe langu nikazuie plot kabla sijakosa vyote huu mwaka[emoji41]
Dah kweli tujipe moyo huku mguu mwingine tumejipanga incase mambo yakiwa hola ... ila mzee hii nchi ngumu sana.Hahahahaha haya mambo bwana kila mtu mbanga wake anamwambia tofauti......kikubwa ni kuzid kua na imani hadi December mwanzoni ....ikifika tar10 bado jw hawajatoa aisee hapo tutafute ustaarabu mwengine
Lakini kwa sasa tuzid kujipa moyo hizi week 2 hizi
Dah kweli tujipe moyo huku mguu mwingine tumejipanga incase mambo yakiwa hola ... ila mzee hii nchi ngumu sana.
Ukisema waliomaliza mikataba na walioko vikosini..je inakuwaje kwa wale ambao walipitaga mujibu idadi ya fighting tit for tat bado ni hiyohiyo 1000?????Nafasi jumla ni 3100 hazizidi 3200.
Vijana 1600 ndio walikuwa kwenye ujenzi pale Ikulu na shule ya mfano. Kuna wachache sana ambao ambao hawazidi 50 walikuwa ujenzi mirerani na wengine ambao walikua kwenye miradi mingine ambao sijui idadi yao.
Kuna nafasi kama 1000 hivi za gombania goli ambazo zitahusu waliopo vikosini na wale walio maliza mkataba. Hii inaitwa Fighting to the death, only the stronger to survive.