Msaada interview za Jeshi la Magereza

Msaada interview za Jeshi la Magereza

Mi nafikiri hao wamepewa kipaumbele tu sabab walijenga ikulu hvyo wanawahi kuanza vipimo kutokana na afya zao macement n.k ila watakao ingia bogi la pili ni hao wa makambini , baba kanituma na zari zarina....ila pia kuna oljoro sijui kama mwaka huu watapigisha ngwasuma.

Ina maana walioenda rts ni wa chamwino tuu...!
 
Updates!!

Waliojenga Dodoma haachwi mtu hiyo ni order toka juu, kwahyo kila service man aliyeshiriki kujenga Dodoma RTS itamuhusu otherwise awe unfit.

Nimetoka kuongea na mwanangu yupo Chato kwenye ujenzi,japokua before alikua Dodoma.

Kaniambia wao wanachosubiri ni ma bus tu na MO.

Kanipanga overrall waliojenga Dodoma wapo kama 1500+ ivi.

Kwahyo ni matumaini yangu uraiani watu watachukuliwa.

Kwahiyo masela endeleeni kupiganisha mibanga.
 
Dah kmmmk ngoja nichukue jembe langu nikazuie plot kabla sijakosa vyote huu mwaka[emoji41]

Hahahahaha haya mambo bwana kila mtu mbanga wake anamwambia tofauti......kikubwa ni kuzid kua na imani hadi December mwanzoni ....ikifika tar10 bado jw hawajatoa aisee hapo tutafute ustaarabu mwengine

Lakini kwa sasa tuzid kujipa moyo hizi week 2 hizi
 
Dah kweli tujipe moyo huku mguu mwingine tumejipanga incase mambo yakiwa hola ... ila mzee hii nchi ngumu sana.
 
Nafasi jumla ni 3100 hazizidi 3200.
Vijana 1600 ndio walikuwa kwenye ujenzi pale Ikulu na shule ya mfano. Kuna wachache sana ambao ambao hawazidi 50 walikuwa ujenzi mirerani na wengine ambao walikua kwenye miradi mingine ambao sijui idadi yao.

Kuna nafasi kama 1000 hivi za gombania goli ambazo zitahusu waliopo vikosini na wale walio maliza mkataba. Hii inaitwa Fighting to the death, only the stronger to survive.
 
ila wangefanya utaratibu tu watoe tangazo kuwa tutachukua uraiani kwa special courses hizi na hizi ili watu wawe updated wakiendelea kusikilizia update nyingine yoyote ya Ajira lakini wanakuwa na ile overview kdg
 
Nafasi jumla ni 3100 hazizidi 3200.
Vijana 1600 ndio walikuwa kwenye ujenzi pale Ikulu na shule ya mfano. Kuna wachache sana ambao ambao hawazidi 50 walikuwa ujenzi mirerani na wengine ambao walikua kwenye miradi mingine ambao sijui idadi yao.

Kuna nafasi kama 1000 hivi za gombania goli ambazo zitahusu waliopo vikosini na wale walio maliza mkataba. Hii inaitwa Fighting to the death, only the stronger to survive.
Ukisema waliomaliza mikataba na walioko vikosini..je inakuwaje kwa wale ambao walipitaga mujibu idadi ya fighting tit for tat bado ni hiyohiyo 1000?????
 
Back
Top Bottom