Inawezekana ila wasikujue wanaweza wakakuua make utakua km umetumwa kuwachunguzaSamahan kama takua njee ya mada .naomba kuuliza hivi kama mtu alipita JKT mujibu anaweza kuomba tena JKT ya kujitolea na akakubaliwa ..ni hilo tu guys
Nimekupata kaka ..kwani kuna operation yeyote inayopiga koz kule JAKATAInawezekana ila wasikujue wanaweza wakakuua make utakua km umetumwa kuwachunguza
Yah ipo kaka sema Ops sijaijua labda nikuulizieNimekupata kaka ..kwani kuna operation yeyote inayopiga koz kule JAKATA
Kiwira wameenda awamu Kama 3 Sasa nafikiri waliopo ndio wanamalizia
Mwaka huu waliobahatika kwenda courses za Corporal, Sergent, A/Insp na SSP Kama sijakosea walikuwa wengi Sana vyuo vyote kuanzia Kiwira, Ukonga na kule kingolwira wameenda karibia awamu Mara tatu tatu!!!Duh aisee ndio maana wanachelewa kutoa majina.????
Mwaka huu waliobahatika kwenda courses za Corporal, Sergent, A/Insp na SSP Kama sijakosea walikuwa wengi Sana vyuo vyote kuanzia Kiwira, Ukonga na kule kingolwira wameenda karibia awamu Mara tatu tatu!!!
Wale mnaosubiria kwenda MT- kiwira habari za uhakika ni kwamba kozi itaanza rasmi January, Kwa Sasa vyuo vyote vya MAGEREZA Kuna kozi zinaendelea za vyeo mbalimbali. Kwa kiwira Kuna group la mwisho la kozi ya ukoplo inaingia kuanzia wiki ijayo tarehe 1 ( mafunzo ni ya mwezi mmoja tuu) hivyo tulieni January ndio kozi ya kuruta inaanza rasmi.
Kila siku nasema huku kuwa usaili wa awali tayari ila hamuamini. Endeleeni kuulizaSawa hakuna shida.....sisi tunaulizia mkeka wa Usaili ni lini.?
Noma Sana ..Kila siku nasema huku kuwa usaili wa awali tayari ila hamuamini. Endeleeni kuuliza
Hatari kumbe washapga kimya kimyaKila siku nasema huku kuwa usaili wa awali tayari ila hamuamini. Endeleeni kuuliza
Kila siku nasema huku kuwa usaili wa awali tayari ila hamuamini. Endeleeni kuuliza
Usaili Kwa wenye fani Bado, hakuna Cha usaili wa awali Wala nini.Kila siku nasema huku kuwa usaili wa awali tayari ila hamuamini. Endeleeni kuuliza
Usaili Kwa wenye fani Bado, hakuna Cha usaili wa awali Wala nini.
Hayo maneno yako yanafanya hata hio lonja yako ya kozi huko Kiwira ionekane uongo
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kwakweli hata hio lonja yake huenda ametupiga kamba tuu....
😂😂Kwakweli hata hio lonja yake huenda ametupiga kamba tuu....
Anachosema jamaa ni kweli mkuu..usahili wa awali kwa magereza ulishapigwa ...zilivyokwisha tu sahili za polisi zikafata magereza ...kuna mdogo wangu yeye alifanyia iringa japokua alibahatika kupata zile za polisiHapo unatudanganyaaa mkuu...... hakuna kitu kama hiko
Mambo hayaendi kienyeji hivyoo......
Mfano zimamoto watu walisema ivoivo kua washapiga usaili....lakini mbona wametoa,,,,,ni issue ya muda tuu ila hata Magereza pia watatoa tuu
Usaili kwa wenye taaluma mbalimbaliAnachosema jamaa ni kweli mkuu..usahili wa awali kwa magereza ulishapigwa ...zilivyokwisha tu sahili za polisi zikafata magereza ...kuna mdogo wangu yeye alifanyia iringa japokua alibahatika kupata zile za polisi
We jamaa ujaelewa somo,Anachosema jamaa ni kweli mkuu..usahili wa awali kwa magereza ulishapigwa ...zilivyokwisha tu sahili za polisi zikafata magereza ...kuna mdogo wangu yeye alifanyia iringa japokua alibahatika kupata zile za polisi