Msaada interview za Jeshi la Magereza

Msaada interview za Jeshi la Magereza

Samahan kama takua njee ya mada .naomba kuuliza hivi kama mtu alipita JKT mujibu anaweza kuomba tena JKT ya kujitolea na akakubaliwa ..ni hilo tu guys
Inawezekana ila wasikujue wanaweza wakakuua make utakua km umetumwa kuwachunguza
 
Duh aisee ndio maana wanachelewa kutoa majina.????
Mwaka huu waliobahatika kwenda courses za Corporal, Sergent, A/Insp na SSP Kama sijakosea walikuwa wengi Sana vyuo vyote kuanzia Kiwira, Ukonga na kule kingolwira wameenda karibia awamu Mara tatu tatu!!!
 
Duh aisee hapa majina yanaweza kutolewa January kabisaa hapa...

Hapa muhimu ni kufanya mambo menginee tuu maana unaweza subir mkeka ukatoka January afu humo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119]
 
Wale mnaosubiria kwenda MT- kiwira habari za uhakika ni kwamba kozi itaanza rasmi January, Kwa Sasa vyuo vyote vya MAGEREZA Kuna kozi zinaendelea za vyeo mbalimbali. Kwa kiwira Kuna group la mwisho la kozi ya ukoplo inaingia kuanzia wiki ijayo tarehe 1 ( mafunzo ni ya mwezi mmoja tuu) hivyo tulieni January ndio kozi ya kuruta inaanza rasmi.
 
Sawa hakuna shida.....sisi tunaulizia mkeka wa Usaili ni lini.?
 
Kila siku nasema huku kuwa usaili wa awali tayari ila hamuamini. Endeleeni kuuliza

Hapo unatudanganyaaa mkuu...... hakuna kitu kama hiko

Mambo hayaendi kienyeji hivyoo......

Mfano zimamoto watu walisema ivoivo kua washapiga usaili....lakini mbona wametoa,,,,,ni issue ya muda tuu ila hata Magereza pia watatoa tuu
 
Usaili Kwa wenye fani Bado, hakuna Cha usaili wa awali Wala nini.
Hayo maneno yako yanafanya hata hio lonja yako ya kozi huko Kiwira ionekane uongo
 
Kwakweli hata hio lonja yake huenda ametupiga kamba tuu....
 
Hapo unatudanganyaaa mkuu...... hakuna kitu kama hiko

Mambo hayaendi kienyeji hivyoo......

Mfano zimamoto watu walisema ivoivo kua washapiga usaili....lakini mbona wametoa,,,,,ni issue ya muda tuu ila hata Magereza pia watatoa tuu
Anachosema jamaa ni kweli mkuu..usahili wa awali kwa magereza ulishapigwa ...zilivyokwisha tu sahili za polisi zikafata magereza ...kuna mdogo wangu yeye alifanyia iringa japokua alibahatika kupata zile za polisi
 
Usaili kwa wenye taaluma mbalimbali
bado na utafanyika kama kawaida msiwe na wasiwasi ila jiandaeni kwenda dodoma utafanyikia huko
 
Anachosema jamaa ni kweli mkuu..usahili wa awali kwa magereza ulishapigwa ...zilivyokwisha tu sahili za polisi zikafata magereza ...kuna mdogo wangu yeye alifanyia iringa japokua alibahatika kupata zile za polisi
We jamaa ujaelewa somo,
Ni hivi usairi hatukatai ulifanyika ila ni ule wa mikoani. Ila huu wa makao wa wenye fani mbali mbali ndo bado

au sio hivyo mr genius?
 
Back
Top Bottom