spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 7,557
- 20,477
Mkuu saiv upo unit ganSie msata kipind cha uzalendo kila ijumaa mnaruka debe na intake yetu ilikua ya kipekee sana,.had band ya ruvu jkt walikuwepo full live band jkt n raha
ila vibe la disco hapo mambo matam Sana😂😂...ila Nini komaa askari Mungu atafanya heri kozi itaisha na utamaliza salama...Mungu wetu sote sikuzote ✊🏽Combat rangi kama ile khaki ya polisi, huyo nguvu ya nyani bado sijamfahamu, btw Bado maafande wengi hatujawafahamu kwsbb kozi Bado haijafunguliwa
Utiifu ndo Jambo la muhim kuliko chochote kile katka maisha ...maana Kuna mfano wa jamaa mmoja kwa street alifanyiwa connection kuingia TPDF kufika kule akasadikika kafanya yake na manzi na alikuwa akitumia vilevi kwa Sana...mda huo tayari ashaanza kuvaa bakabaka na belt ipo kiunoni baadae kafukuzwa kwa utovu wa nidhamu na ilibaki kama wiki kadhaa wahitimu...kwahiyo nidhamu muhim sana[emoji3][emoji3][emoji3]mie nitakuwa mtiifu nisije haribu kazi bure majuto yakawa mjukuu
Mkuu kumbe ulichaguliwa weweWazee toeni hints za interview uhamiaji tafadhali
Kizali tuMkuu kumbe ulichaguliwa wewe
Barua yako uliandika nakutuma kutokea mkoa ganiKizali tu
Hadi sahiv najiuliza Sababu ya mimi kuachwa siijui asee nimeshachoka Kabisa yaniKizali tu
So kweli kwanza hunijui vizuriPunguza uzinzi
Duuh mbuzi wa maskini hazaiNiaje!
Kama mtu una mbuyu /mbanga wa kukupiganishia komaa...
Msata kozi ilishafunguliwa wapo 3500 na juma lijalo wanamaliza six weeks.
833 Oljoro wapo 1500 hadi sasa, walipunguzwa toka Msata huku kozi haijaanza bado wapo uzalendo.
Navyojua bado kama 900 wengine ndiyo maana kuna usaili ulikua unafanyika kwenye vikosi vya Jkt.
833 kozi inafunguliwa mid Feb, wiki hii bado zinashushwa tairi na kuwafatia magogo/log toka Ngaramtoni na kufungwa taa kwenye uwanja wa damu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anayeweza nisaidia anisaidie sina connection wala mbangaNiaje!
Kama mtu una mbuyu /mbanga wa kukupiganishia komaa...
Msata kozi ilishafunguliwa wapo 3500 na juma lijalo wanamaliza six weeks.
833 Oljoro wapo 1500 hadi sasa, walipunguzwa toka Msata huku kozi haijaanza bado wapo uzalendo.
Navyojua bado kama 900 wengine ndiyo maana kuna usaili ulikua unafanyika kwenye vikosi vya Jkt.
833 kozi inafunguliwa mid Feb, wiki hii bado zinashushwa tairi na kuwafatia magogo/log toka Ngaramtoni na kufungwa taa kwenye uwanja wa damu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakubali mwanangu Sana ..big upVp ndugu zangu wapambanaji katika mapambano ya ajira katika idara za ulinzi na usalama Tz, najua bado tupo kitaa kwa ambao bado hatujatoboa ila ni mwiko kukata tamaa japo wenzetu neema imeshawashukia na washaingia mafunzoni ila tusikate tamaa kwa ambao bado hawajapata kama mimi japo nafas bado zipo ila kwa uchache, kuna wanaosubir majibu ya usaili ya uhamiaji Mungu awatangulie ila jitahidin pia kufatuta connection mbali na hapo ni ngumu sana kutoboa maana Mungu pia anawez kukupa riziki kupitia mtu,,pia kwa wale ambao bdo tunahitaji kuvaa ugoro wa magerez nafas zpo jpo kozi ishafunguliwa kiwira ila kuna nafasi zingine za kujazia maana walioriport idadi haikutimia 700 ivyo bas kuna idadi ya kama 200+ ivi wataongezewa kwenda kiwira ili kukamilisha 700..leo ni siku ya pili toka kozi ifunguliwe kama bado hujakata tamaa tafuta mtu akupiganishie
Lonja uliyopatav kutoka huo mkeka mwengine ni lini mkuuVp ndugu zangu wapambanaji katika mapambano ya ajira katika idara za ulinzi na usalama Tz, najua bado tupo kitaa kwa ambao bado hatujatoboa ila ni mwiko kukata tamaa japo wenzetu neema imeshawashukia na washaingia mafunzoni ila tusikate tamaa kwa ambao bado hawajapata kama mimi japo nafas bado zipo ila kwa uchache, kuna wanaosubir majibu ya usaili ya uhamiaji Mungu awatangulie ila jitahidin pia kufatuta connection mbali na hapo ni ngumu sana kutoboa maana Mungu pia anawez kukupa riziki kupitia mtu,,pia kwa wale ambao bdo tunahitaji kuvaa ugoro wa magerez nafas zpo jpo kozi ishafunguliwa kiwira ila kuna nafasi zingine za kujazia maana walioriport idadi haikutimia 700 ivyo bas kuna idadi ya kama 200+ ivi wataongezewa kwenda kiwira ili kukamilisha 700..leo ni siku ya pili toka kozi ifunguliwe kama bado hujakata tamaa tafuta mtu akupiganishie
Uhakika mkuu ?Vp ndugu zangu wapambanaji katika mapambano ya ajira katika idara za ulinzi na usalama Tz, najua bado tupo kitaa kwa ambao bado hatujatoboa ila ni mwiko kukata tamaa japo wenzetu neema imeshawashukia na washaingia mafunzoni ila tusikate tamaa kwa ambao bado hawajapata kama mimi japo nafas bado zipo ila kwa uchache, kuna wanaosubir majibu ya usaili ya uhamiaji Mungu awatangulie ila jitahidin pia kufatuta connection mbali na hapo ni ngumu sana kutoboa maana Mungu pia anawez kukupa riziki kupitia mtu,,pia kwa wale ambao bdo tunahitaji kuvaa ugoro wa magerez nafas zpo jpo kozi ishafunguliwa kiwira ila kuna nafasi zingine za kujazia maana walioriport idadi haikutimia 700 ivyo bas kuna idadi ya kama 200+ ivi wataongezewa kwenda kiwira ili kukamilisha 700..leo ni siku ya pili toka kozi ifunguliwe kama bado hujakata tamaa tafuta mtu akupiganishie