Msaada interview za Jeshi la Magereza

Msaada interview za Jeshi la Magereza

Lonja uliyopatav kutoka huo mkeka mwengine ni lini mkuu
Kuna jamaa yangu mmoja kainipigia simu Jana akaniambia kuwa amepigiwa simu ghafla na akaambiwa Jumatano afike dodoma...nkamwambia hongera sana lakini sikuongea nae meng Mana nilikuwa busy kdg alivyonipigia ila nahisi wanapiga simu kwa watu hao 200 waliopelea na wengne ndo hvyo sehem nyingne nyngne wanachukuliwa pia ili kufika idadi
 
Hata walio kozi washaambiwa ivo na tunawasiliana nao maana simu wanatumia bado na hawajaambiw kuzikusanya
Yaani idadi ijatimia duuh 200 wengi hapo kuna watu wamepiga chini hawajaripoti

Ila mtu unaitwa magereza hauendi labda kitaa wanachopambania ni tofauti na chetu
 
Idadi kuwa ndogo ni mistake ilitokea kwa wao kuchukua idadi ndogo kinyume na agizo la 700 ila ambao hawajariport kwa kutopenda ni wachache sana na wengi wao sio watot wa wakulima..wengin waliend kusom tena
 
Kuna jamaa yangu mmoja kainipigia simu Jana akaniambia kuwa amepigiwa simu ghafla na akaambiwa Jumatano afike dodoma...nkamwambia hongera sana lakini sikuongea nae meng Mana nilikuwa busy kdg alivyonipigia ila nahisi wanapiga simu kwa watu hao 200 waliopelea na wengne ndo hvyo sehem nyingne nyngne wanachukuliwa pia ili kufika idadi
Utakuta hapo Jamaa alishakata tamaa baada ya jina lake kutoonekana kwenye mkeka anaangalia ustarabu mwengine mara paap simu [emoji3][emoji3] kuna watu wana Zari nyie sio poa
 
Idadi kuwa ndogo ni mistake ilitokea kwa wao kuchukua idadi ndogo kinyume na agizo la 700 ila ambao hawajariport kwa kutopenda ni wachache sana na wengi wao sio watot wa wakulima..wengin waliend kusom tena
Hapo lazima wachukue reserve kwenye mikeka yao ili kuendana na spidi ya kozi

Maana kuitisha usaili tena ni process ndefu sana
 
Amefurahi Sana rafik yangu maana jamaa alikuwa street kwa miaka 3 na nusu toka amalize chuo lakini Mungu mwema Kuna wakati sahihi ukifika juu yako hakuna wa kulipinga
 
Hapo lazima wachukue reserve kwenye mikeka yao ili kuendana na spidi ya kozi

Maana kuitisha usaili tena ni process ndefu sana
Ni ngumu kufanyisha usaili uraiani kwasabb muda sio rafiki tena...ivyo bas kwa makao ni rahis kupata majina ya weny fani kam reserve ila kwa saili zilizokua zkifanyik ngaz za mikoa na wilaya ni ngum kupata majina na taarifa binafsi za waombaj waliokua wameomba ndo maana walioka makambin watanufaika kwa wale wa form four maan ni rahis kuwapat ila kwa kitaa lazm uwe na wa kukushik mkono
 
Kuna jamaa yangu mmoja kainipigia simu Jana akaniambia kuwa amepigiwa simu ghafla na akaambiwa Jumatano afike dodoma...nkamwambia hongera sana lakini sikuongea nae meng Mana nilikuwa busy kdg alivyonipigia ila nahisi wanapiga simu kwa watu hao 200 waliopelea na wengne ndo hvyo sehem nyingne nyngne wanachukuliwa pia ili kufika idadi
Mie sasa ni nani ananijua anipigie simu kwa kitu gani labda ...sipo hata kwenye reserve yao ..hizo nafasi nyengine zitajazwa kwa kuuzwa kupitia wabanga tu .
 
Wanangu endeleeni kupambana Sana huku huku kitaa kama kama ulikosa kama mimi mungu ndiyo apangaye watakao bahatika kwa mara nyengine ni rizk yao [emoji120]
 
Kuna jamaa yangu mmoja kainipigia simu Jana akaniambia kuwa amepigiwa simu ghafla na akaambiwa Jumatano afike dodoma...nkamwambia hongera sana lakini sikuongea nae meng Mana nilikuwa busy kdg alivyonipigia ila nahisi wanapiga simu kwa watu hao 200 waliopelea na wengne ndo hvyo sehem nyingne nyngne wanachukuliwa pia ili kufika idadi
Alipigiwa na watu wa magereza au chombo kingine
 
Tuko chuoni, lonja iliopo ni kwamba Kuna watu wanaongezeka Ili kufikia idadi ya 700, kwsasa tuko 449 tulioripoti na juzi MTO kutoka Makao makuu alikuja kuhakiki walioripoti. Kuna ukarabati wa mabweni, vyoo, utengenezaji wa vitanda unaendelea Kwa Kasi sana kuashiria kupokea hao kuruti wanaokuja. Inasemekana wanaanza kuingia kesho tarehe 10
 
Back
Top Bottom