mfwende sawadogo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 2,466
- 5,659
mkuu ile ishu alinambia yy alitinga mafunzoni bila tranka na hashauri mtu kuenda na tranka kozini .kuna kua na perceptions fulani kama wakuja hviiWazi
Daah basi washkaji wana bahati sana sisi tumepiga wilayani wale tuliopita wilayani tukaenda kupiga mkoani tenaVile ulivyodhania kutakuwa na saili mbili ni sivyo Naona usaili ni ule ule mmoja tu kaka.tusubirie jikeka
Na wizi inakuaje hapo maana obviously ukienda na simu lazima utahifadhi kwenye hilo begi hapo ukisikia kuchanwa na wembe mtu aivute ndio hapo sasamkuu ile ishu alinambia yy alitinga mafunzoni bila tranka na hashauri mtu kuenda na tranka kozini .kuna kua na perceptions fulani kama wakuja hvii
Mmhh bac yawezekana waliitwa me sikuitwa ...bac simo ngoja nisubirie sensa tu popote KambiDaah basi washkaji wana bahati sana sisi tumepiga wilayani wale tuliopita wilayani tukaenda kupiga mkoani tena
Daah tusubiri tu huu mkeka ....
Ila sema jeshi halitabirikiMmhh bac yawezekana waliitwa me sikuitwa ...bac simo ngoja nisubirie sensa tu popote Kambi
Laki tatu ya vinywajiSema sasa hivi kila jeshi linapesa ndefu kama magereza tu anakunja 800k daah hatari sana
izo chanc kuzipata ndo shidaLaki tatu ya vinywaji
Na laki moja ya pango
Na bado hela ya umeme na maji
Kwa anaenza huyu warder anakula kilo tano
Bado kuna bonus zao
Masaa ya kazi mwisho 8 tofauti na polisi ukizidisha unalipwa tena cash
Kupata vyeo ni rahisi tofauti na polisi
Mafunzo miezi sita uhakika wa kuapa unao tofauti na polisi ukiteleza kidogo unarudishwa ukiumwa wiki tu wanakuandikia unfit unarudishwa
Sasa kwa nini usiipende magereza
Kwa mtakaobahatika kwenda Kiwira mtakuwa mmetoboa sana
Daah we acha tuizo chanc kuzipata ndo shida
nlikua msata pale katka mahafari ya tpdf nikakuta wazee kibao wamehitimu nao nkasema kwel jeshi kua na mbanga tuDaah we acha tu
[emoji1787]nlikua msata pale katka mahafari ya tpdf nikakuta wazee kibao wamehitimu nao nkasema kwel jeshi kua na mbanga tu
aiseeh magereza inahitaji promo kama yako ili watu waipende.kwa strori nazosikia na navo waona magereza sijawahi jaribu kuomba nafasi ila kama wanavuta bonus kama hzo mbona fresh tuu mzee.kila la kheri washkaji mtakao pataLaki tatu ya vinywaji
Na laki moja ya pango
Na bado hela ya umeme na maji
Kwa anaenza huyu warder anakula kilo tano
Bado kuna bonus zao
Masaa ya kazi mwisho 8 tofauti na polisi ukizidisha unalipwa tena cash
Kupata vyeo ni rahisi tofauti na polisi
Mafunzo miezi sita uhakika wa kuapa unao tofauti na polisi ukiteleza kidogo unarudishwa ukiumwa wiki tu wanakuandikia unfit unarudishwa
Sasa kwa nini usiipende magereza
Kwa mtakaobahatika kwenda Kiwira mtakuwa mmetoboa sana
Wapo kimya sana na li pdf wanatutia preshaaiseeh magereza inahitaji promo kama yako ili watu waipende.kwa strori nazosikia na navo waona magereza sijawahi jaribu kuomba nafasi ila kama wanavuta bonus kama hzo mbona fresh tuu mzee.kila la kheri washkaji mtakao pata
Unauliza swali au unatoa taarifa?nafasi za jkt zimetoka
AnazinguaUnauliza swali au unatoa taarifa?
nmeulizaUnauliza swali au unatoa taarifa?
Bado hazijatokanmeuliza