BARDIZBAH
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 5,259
- 10,078
Sawa sawa boss tupo pamoja.Huko Makambini JW wanabeba yeyote tu hadi la saba sifa damu tu na uimara wa mwili au fani ya watu husika waliotaka kwa wakati huo mfano mwaka huu kama walivyochukua watu wa afya na wahandisi